Hatimaye!

Posted on June 15, 2010

0Watu wa Mombasa tumepata sauti mpya ya mtandao. Hatutaogopa, tutatoboa na wala hatutaficha.

Blog hii itakuwa ndio chimbuko la habari moto moto za hapa Mombasa na Pwani kwa ujumla. For all the latest gossip, check back here frequently.

Kama una TIPS zozote tamu za udaku, nitumie ujumbe mfupi kwa mombasa411@gmail.com

Maswala yote yataangaziwa, iwe ni waandishi habari, wasanii, wana maofisi, Manispaa na wengine wengi, yote yataangaziwa……

Posted in: Uncategorized