Vita vya Radio Vyachacha baina ya Kaya FM na Baraka FM

Posted on June 15, 2010

0Kaya FM imepata pigo lengine baada ya kumpoteza mtangazaji mwengine kwa Baraka FM. Juma Mdoe aka Al Mahabub, na ambaye ni kakaye mdogo mtangazaji wa Citizen Swaleh Mdoe, alijiuzulu mwishoni wa mwezi uliopita na ameanza kazi rasmi Baraka FM.

Baraka FM Presenter, Nutty Oj.

Kwa mujibu wa mdokezi wetu, Mdoe atatangaza kipindi cha Afro Bomba kinachoshikiliwa kwa sasa na Nutty Ojay na Kokoro.

Baraka FM iko katika harakati za kujinasua tena baada ya kushangazwa na Radio Maisha iliyochukua watangazaji wake wawili, Alex Mwakideu na Esther Ingolo, pamoja na Dennis Ndonga ambaye sasa atakuwa sura mpya ya KTN PRIME