THANKS! Sisemi Kitu!

Posted on June 24, 2010

1Mombasa411 inatimiza wiki yake ya pili hii leo, na tayari jumbe na barua pepe ambazo tumezipokea katika anwani yetu ya mombasa411@gmail.com zimekuwa za kutia moyo sana.

Toleo letu la Jumatatu la the warembo 10 bora wa Radio mkoani pwani limevutia hisia mbali mbali.

Asilimia 72 ya waliotuma jumbe zao kwangu mhariri wamekubaliana nasi, ilhali wengine wakapinga…..inaitwa demokrasia!

Kwa hivi sasa, tunakaribia kuwaangushia the Top 20 eligible bachelors hapa mkoani katika Radio…..

Posted in: Uncategorized