Safiri Salama Mtangazaji Abdallah Ramadhan, Channel 10 Tanzania…..

Posted on October 12, 2010

0Sisi Hapa Mombasa411 tungependa kupeleka risala zetu za rambirambi kwa jamaa na marafiki wa rafiki yangu Abdallah Ramadhani aliyekuwa mtangazaji wa Channel 10 Tanzania aliyeaga dunia Juzi na kuzikwa jana mjini Dar.

 

The Late Abdallah Ramadhan

 

 

Askari wa kikosi cha usalama barabarani jana waliongoza msafara wa magari na pikipiki kuelekea katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam wakati wa mazishi ya Marehemu Abdallah Ramadhani, aliyekuwa Mtangazaji wa kuheshimika na kupendwa na wengi katika kituo cha Televisheni cha Channel Ten.

Abdallah alizikwa katika makaburi ya Kisutu, Jijini Dar.

Abdallah aliaga dunia kufuatia ajali ya barabarani.

Posted in: Breaking News